Genesis 26:1

Isaka Na Abimeleki

1Basi njaa kubwa ikawa katika nchi hiyo, kuliko ile njaa iliyotangulia iliyotokea wakati wa Ibrahimu. Isaka akamwendea Abimeleki mfalme wa Wafilisti huko Gerari.
Copyright information for SwhKC